Polepole na Bashiru hawakulelewa na CCM !

Ila katika uongozi wao Polepole na Bashiru ndipo heshima iliyopotea ya CCM kwa Wananchi ilirudi.Na sasa waliolelewa na CCM wameizamisha tena CCM kurudi kuchukiwa na Wananchi tena!🤣🤣🤣
Heshima waliyoirejesha CCM hao kina polepole na Bashiru ni
kuanzisha biashara ya wanasiasa kwa kuunga juhudi.
Hao ndio waasisi wa kuteka na kuua.
Kwa hiyo kwako wewe ndio heshima waliyoirejesha CCM?
 
kama haujui, hao ndio walishauriana na magu hadi mama yako akawekwa hapo. usisahau fadhila zao.
Nyoooo!
Magu mwenyewe aliwekwa tu. Wakati Magu anawekwa Bashiru alikuwa mwanaCUF na hicho kislowslow kilikuwa kimwanaharakati tu cha Warioba. Wameanza kukutana na Magu tayari Mama ni Makamu na alipokufa Magu wakaandaa zengwe kumkataa
 
Ubongo ukijaa kamasi wa kulaumiwa ni mzazi, waalim au mfumo wa elimu wa nchi?
 
Nyoooo!
Magu mwenyewe aliwekwa tu. Wakati Magu anawekwa Bashiru alikuwa mwanaCUF na hicho kislowslow kilikuwa kimwanaharakati tu cha Warioba. Wameanza kukutana na Magu tayari Mama ni Makamu na alipokufa Magu wakaandaa zengwe kumkataa
Wakati haya yanatokea wewe ulikuwa wapi?
 
Tunaowajua hatushangai,

Pamoja na yote, hao wote wamelelewa na mfumo, na wako kwenye mfumo,

Binafsi naamini wanafanya kazi ya mfumo, otherwise wameota pembe,

Siamini hata 0% kwamba hao ni watu wamabadiliko.
 
Sawa ila ni wazalendo sana hilo linatosha..
 
Nadhani mantiki yake ndio iko hapo; kwamba waliolelewa na ccm huaga hawajali kabisa mambo ya nchi, wizi, ufisadi na kutokufata taratibu na katiba ndio mambo ya ccm; akitokea mtu mwenye anapenda ufataji wa utaratibu, lazima wamshangae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…