Dah, mbona matusi mengi (hoja ya nguvu) kuliko nguvu ya hoja? Yaani unatumia nguvu nyingi mno kumtukana Polepole ambaye si mleta mada badala ya kushughulika na hoja zake. Badilika!Polepole kadumaa kabisa...very dormant mentally and physically...hana uhalali wala haki ya kusema fulani afutwe au vp...!!
Huyu dogo mpuuzi sana, anajifanya anajua siasa sana...tokea lini kipindi hiki cha uchaguzi MAKUNDI YASIWEPO...!!? Makundi ni Lazima kipindi hiki cha uchaguzi, sio mara ya kwanza...ni mara zote makundi makubwa yanaibuka wakati wa uchaguzi within party na baadae uchaguzi mkuu...
Makundi ndio yanayochagua, haiwezekani kisiwe na makundi kipindi hiki...sbb wanaompenda mtu fulani ndani ya chama HUONYESHA MAPENZI YAO...na ndio DEMOCRASIA....wana chama kuwa wazi kuonyesha wa wanampenda nani...tayari makundi yanatokea kwa wanachama kuwapenda wanao ona wanafaa kuwa viongozi wao...So makundi ni sehemu halali ya demokrasia kipindi cha uchaguzi...!!
Polepole ni mpuuzi, anajifanya anajua saana kumbe pumba tu anaongea...very foolish...!!!
Polepole kadumaa kabisa...very dormant mentally and physically...hana uhalali wala haki ya kusema fulani afutwe au vp...!!

Kijana Mashuhuri ,Mmoja wa Wajumbe kwenye Tume ya katiba Mpya Yaani Tume ya Warioba ,amejimbambanua na kusema yeye ni mwanachama wa ccm, pia anakitakia Chama chake afya Njema ,Amesema kwamba , Kutokana na Makundi Makubwa mawili ndani ya CCM, yaani Team Membe na Team Lowassa. "Haya makundi yatakimaliza Chama" Watu hawa wawili hawaruhusiwi kufika kwenye Kamati kuu yaani CC. kinachotakiwa Majina yao yaondolewe Mapema Sana wakati wa kumtafuta Mgombea Uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi.
wewe Mwana CCM na wewe mwananchi unaonaje na Ushauri wa Ndugu PolePole? Leta Maoni yako siyo Matusi.

Lowasa hawezi kukubali kivipi? Kwani watanzania ni ng'ombe zake mpaka alazimishe.?hii ni nchi siyo familia ya edward lowassa.We Lowasa hawezi kubali yeye ni Raisi tayari. Huyo Membe na wenzake wacha wasindikize
Polepole anasumbuliwa na udikteta wa kinazi, mrengo wa chama kimoja, kwani ccm ikisambaratika mimi inanihusu nini?
Ni haki kabisa waachwe wafu wazikane wao kwa wao, ccm si baba wala mama yangu kuna Siku naiacha, JK Nyerere. 1995.
Polepole kadumaa kabisa...very dormant mentally and physically...hana uhalali wala haki ya kusema fulani afutwe au vp...!!
Huyu dogo mpuuzi sana, anajifanya anajua siasa sana...tokea lini kipindi hiki cha uchaguzi MAKUNDI YASIWEPO...!!? Makundi ni Lazima kipindi hiki cha uchaguzi, sio mara ya kwanza...ni mara zote makundi makubwa yanaibuka wakati wa uchaguzi within party na baadae uchaguzi mkuu...
Makundi ndio yanayochagua, haiwezekani kisiwe na makundi kipindi hiki...sbb wanaompenda mtu fulani ndani ya chama HUONYESHA MAPENZI YAO...na ndio DEMOCRASIA....wana chama kuwa wazi kuonyesha wa wanampenda nani...tayari makundi yanatokea kwa wanachama kuwapenda wanao ona wanafaa kuwa viongozi wao...So makundi ni sehemu halali ya demokrasia kipindi cha uchaguzi...!!
Polepole ni mpuuzi, anajifanya anajua saana kumbe pumba tu anaongea...very foolish...!!!
Dah, mbona matusi mengi ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Dah, mbona matusi mengi ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,