Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
Mwanasheria kijana ,Mmoja wa Wajumbe kwenye Tume ya katiba Mpya Yaani Tume ya Warioba ,amejimbambanua na kusema yeye ni mwanachama wa ccm, pia anakitakia Chama chake afya Njema ,Amesema kwamba , Kutokana na Makundi Makubwa mawili ndani ya CCM, yaani Team Membe na Team Lowassa. "Haya makundi yatakimaliza Chama" Watu hawa wawili hawaruhusiwi kufika kwenye Kamati kuu yaani CC. kinachotakiwa Majina yao yaondolewe Mapema Sana wakati wa kumtafuta Mgombea Uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi.
wewe Mwana CCM na wewe mwananchi unaonaje na Ushauri wa Ndugu PolePole? Leta Maoni yako siyo Matusi.

Polepole amesomea sheria wapi ndugu mleta mada.
Sasa mbona unahamaki hadi linakutoka tusi?Polepole hajawahi kuchaguliwa hata kiranja wa bweni, atachambuaje wagombea? Hiyo kadi ya ccm anayomiliki atuambie ni namba ngapi ya tawi gani? Haka kajamaa kashenzi tu.
Hawo watu anawanunua mpumbafu wewe, watu hao wanafuata mshikohuyu naye anachanganyikiwa...siasa ni watu,watu ndio wanapiga kura....ukimtoa mtu mwenye watu utapata wapi kura? mtaji wa mwanasiasa ni watu,kama huna watu kafanye kazi ya kuchimba mitaro
unatumia masaburi kujibuHawo watu anawanunua mpumbafu wewe, watu hao wanafuata mshiko
Polepole amesomea sheria wapi ndugu mleta mada.
Acha Wafu wazikane,Ukawa ni sherehe tu.
Polepole hajawahi kuchaguliwa hata kiranja wa bweni, atachambuaje wagombea? Hiyo kadi ya ccm anayomiliki atuambie ni namba ngapi ya tawi gani? Haka kajamaa kashenzi tu.
Kijana Mashuhuri ,Mmoja wa Wajumbe kwenye Tume ya katiba Mpya Yaani Tume ya Warioba ,amejimbambanua na kusema yeye ni mwanachama wa ccm, pia anakitakia Chama chake afya Njema ,Amesema kwamba , Kutokana na Makundi Makubwa mawili ndani ya CCM, yaani Team Membe na Team Lowassa. "Haya makundi yatakimaliza Chama" Watu hawa wawili hawaruhusiwi kufika kwenye Kamati kuu yaani CC. kinachotakiwa Majina yao yaondolewe Mapema Sana wakati wa kumtafuta Mgombea Uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi.
wewe Mwana CCM na wewe mwananchi unaonaje na Ushauri wa Ndugu PolePole? Leta Maoni yako siyo Matusi.