Polepole live ITV

Polepole live ITV

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
swali la kipima joto linauliza
watangaza nia kuomba urais kuahadi kuwapeleka watanzania katika nchi ya uchumi wa kati ifikapo 2025
je kuna misingi na mazingira wezeshi kufanikisha mapinduzi haya ya kiuchumi kwa hali halis?
 
Hahaha, ulikuwa unawahi kuweka hii mada wa kwanza!?!? SHWALI
 
Kwa kuwa ushawahi kupost edit kidogo basi
 
Huyu polepole yuko vizuri sana,ccm mchukueni huyu awavushe.
 
makada wa aina hii ccm hawakubaliki kabisa kama unabisha angalia kama watampitisha makongoro nyerere
 
Akigombea kupitia CCM simpi kura mie. Atakuwa amejiweka chini ya mwavuli wa wezi na automatikali atakuwa mwizi
 
Back
Top Bottom