pakaywatek JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 4,710 Reaction score 6,372 May 28, 2017 #61 Polepole anazeeka vibaya.
Kaisari JF-Expert Member Joined Nov 13, 2012 Posts 3,636 Reaction score 3,045 May 28, 2017 #62 Pole pole anataka kutuambia nini? What happened? Kwenye hii deal, haikukubalika?au dau lilipungua?au ilikuwakuwaje mhongaji hakufanikiwa? Ilibumbuluka mapema au ikikuwaje ??? Hebu ajitokeze kuweka hii suala clear!
Pole pole anataka kutuambia nini? What happened? Kwenye hii deal, haikukubalika?au dau lilipungua?au ilikuwakuwaje mhongaji hakufanikiwa? Ilibumbuluka mapema au ikikuwaje ??? Hebu ajitokeze kuweka hii suala clear!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,175 Reaction score 829,132 May 28, 2017 Thread starter #63 Sooth said: Kama kweli wamejaribu kuhonga basi wanauogopa muziki wa JPM na sasa tuanze kuamin kuwa 'imooo'. Tuhuma dhidi yao sio bure. Click to expand... Mh
Sooth said: Kama kweli wamejaribu kuhonga basi wanauogopa muziki wa JPM na sasa tuanze kuamin kuwa 'imooo'. Tuhuma dhidi yao sio bure. Click to expand... Mh