kkarumekenge
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 1,708
- 1,029
DOLA MILIONI MOJA NA NUSU NI BILIONI TATU SIYO MIA TATU. MAY BE ULIMAANISHA DOLA MILIONI MIA MOJA NA HAMSINIPamoja na kwamba tunaambiwa kwamba binadamu wote ni sawa ..hili ni kwa sehemu tu ya yale mahitaji ya lazima...
Kiuhalisia tunatofautiana pakubwa sana!
Teja kamwe hawezi kufanana na konda wala konda hawezi kufanana na dereva....tuna rankings katika maisha
Cheo cha katibu mwenezi wa CCM ni tofauti kabisa na cha katibu mwenezi wa ACT japo viko kwenye rank moja...Hawa wawili wakiongea kitu kinachofanana impact itakuwa tofauti kabisa
Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu bandarini katibu huyu mwenezi wa CCM anadai kuna mtu/watu walitaka kumhonga mkuu wa nchi dollar million moja karibia na nusu ambayo thamani yake kwa pesa yetu ni kama BILIONI MIA TATU
Haya si madai madogo wala mepesi
Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi, huu ni uhaini
Madai ya uthubutu wa kutaka kumhonga mkuu wa nchi ni kashfa dharau na uchochezi mkubwa kabisa..... Kutaka kumhonga rais ni sawa na kutaka kuipeleka nchi mnadani...
Hili hapana kama taifa tuna heshima utu na hadhi yetu..kama kweli kuna mtu, watu ama taasisi alijaribu kufanya hivi na akakaliwa kimya tu na mamlaka husika, na bado tukaendelea kutumia kibubu dhoofu cha taifa kuunda tume kutafuta ukweli wa mchanga nachelea kusema kuna shida kubwa mahali
Nionavyo mimi Humphrey kakurupuka na kuropoka bila kujua kuwa maneno yake hayo yameidhalilisha pakubwa taasisi ya urais...kwamba inajaribiwa, tena si kwa kingine bali HONGO!!!!
Tufunike kombe mwanakharamu apite ....lakini basi hata kimyakimya tuambizane kwamba katibu mwenezi katia DOA kubwa la aibu nafasi yake chama chake, taasisi ya rais na nchi katika ujumla wake bila kujisahau yeye kama yeye na familia yake
Unaweza kujiuliza jamaa walipata wapi udhubutu wa kumpa Mzee dau, walimpigia simu au walienda pale Ikulu?Pamoja na kwamba tunaambiwa kwamba binadamu wote ni sawa ..hili ni kwa sehemu tu ya yale mahitaji ya lazima...
Kiuhalisia tunatofautiana pakubwa sana!
Teja kamwe hawezi kufanana na konda wala konda hawezi kufanana na dereva....tuna rankings katika maisha
Cheo cha katibu mwenezi wa CCM ni tofauti kabisa na cha katibu mwenezi wa ACT japo viko kwenye rank moja...Hawa wawili wakiongea kitu kinachofanana impact itakuwa tofauti kabisa
Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu bandarini katibu huyu mwenezi wa CCM anadai kuna mtu/watu walitaka kumhonga mkuu wa nchi dollar million moja karibia na nusu ambayo thamani yake kwa pesa yetu ni kama BILIONI MIA TATU
Haya si madai madogo wala mepesi
Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi, huu ni uhaini
Madai ya uthubutu wa kutaka kumhonga mkuu wa nchi ni kashfa dharau na uchochezi mkubwa kabisa..... Kutaka kumhonga rais ni sawa na kutaka kuipeleka nchi mnadani...
Hili hapana kama taifa tuna heshima utu na hadhi yetu..kama kweli kuna mtu, watu ama taasisi alijaribu kufanya hivi na akakaliwa kimya tu na mamlaka husika, na bado tukaendelea kutumia kibubu dhoofu cha taifa kuunda tume kutafuta ukweli wa mchanga nachelea kusema kuna shida kubwa mahali
Nionavyo mimi Humphrey kakurupuka na kuropoka bila kujua kuwa maneno yake hayo yameidhalilisha pakubwa taasisi ya urais...kwamba inajaribiwa, tena si kwa kingine bali HONGO!!!!
Tufunike kombe mwanakharamu apite ....lakini basi hata kimyakimya tuambizane kwamba katibu mwenezi katia DOA kubwa la aibu nafasi yake chama chake, taasisi ya rais na nchi katika ujumla wake bila kujisahau yeye kama yeye na familia yake
Mi naamini ni kuna ukweli flani. Hebu imagine angekuwa balozi kama wa uingereza ndo katumwa afikishe hiyo offer, angemuitia takukuru? Mi nafikiri hili litufungue macho kutambua hawa "wakubwa" wanakawaida ya kuwapa rushwa viongozi wetu ili watekeleze matakwa yao.Pamoja na kwamba tunaambiwa kwamba binadamu wote ni sawa ..hili ni kwa sehemu tu ya yale mahitaji ya lazima...
Kiuhalisia tunatofautiana pakubwa sana!
Teja kamwe hawezi kufanana na konda wala konda hawezi kufanana na dereva....tuna rankings katika maisha
Cheo cha katibu mwenezi wa CCM ni tofauti kabisa na cha katibu mwenezi wa ACT japo viko kwenye rank moja...Hawa wawili wakiongea kitu kinachofanana impact itakuwa tofauti kabisa
Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu bandarini katibu huyu mwenezi wa CCM anadai kuna mtu/watu walitaka kumhonga mkuu wa nchi dollar million moja karibia na nusu ambayo thamani yake kwa pesa yetu ni kama BILIONI MIA TATU
Haya si madai madogo wala mepesi
Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi, huu ni uhaini
Madai ya uthubutu wa kutaka kumhonga mkuu wa nchi ni kashfa dharau na uchochezi mkubwa kabisa..... Kutaka kumhonga rais ni sawa na kutaka kuipeleka nchi mnadani...
Hili hapana kama taifa tuna heshima utu na hadhi yetu..kama kweli kuna mtu, watu ama taasisi alijaribu kufanya hivi na akakaliwa kimya tu na mamlaka husika, na bado tukaendelea kutumia kibubu dhoofu cha taifa kuunda tume kutafuta ukweli wa mchanga nachelea kusema kuna shida kubwa mahali
Nionavyo mimi Humphrey kakurupuka na kuropoka bila kujua kuwa maneno yake hayo yameidhalilisha pakubwa taasisi ya urais...kwamba inajaribiwa, tena si kwa kingine bali HONGO!!!!
Tufunike kombe mwanakharamu apite ....lakini basi hata kimyakimya tuambizane kwamba katibu mwenezi katia DOA kubwa la aibu nafasi yake chama chake, taasisi ya rais na nchi katika ujumla wake bila kujisahau yeye kama yeye na familia yake
Madhara ya kupayuka bila tafakuri na bila kipimo....!!! Na hii yote ni pale unapomlazimisha mtu kuvaa viatu vikubwa kuliko miguu yake ...halafu unamwambia akimbieUnaweza kujiuliza jamaa walipata wapi udhubutu wa kumpa Mzee dau, walimpigia simu au walienda pale Ikulu?
Hawakufika dau la Mzee kwa hiyo akaenda kusema zikatoka Ikulu zikafika mpaka Lumumba
Polepole ameamua kutudhihirishia ule utukufu wa Urais aliondoka nao Nyerere siku hizi kumeshakuwa kama nchi za kule Latin Amerika tu kama wangefika bei basi yangeisha
Kuna aina fulani ya wanyama huwa hawapendi kundini kuwe na wengine mahiri kama yeye....daima hupenda kuwajuu pekeyake na kusujudiwa na wengineYaani huyu polepole hakufaa wala hata kuelekea ktk huo UKATIBU UENEZI WA CCM
Sijui M.kiti alimuokotea wapi tu
Nisipingane nawe lakini kweli ndio mtoa taarifa awe polepole? As simple as that? Kwenye rankings kimadaraka Humphrey ni namba ngapi? That's why nikasema asiropoke...(hata kama kuna ukweli fulani)Mi naamini ni kuna ukweli flani. Hebu imagine angekuwa balozi kama wa uingereza ndo katumwa afikishe hiyo offer, angemuitia takukuru? Mi nafikiri hili litufungue macho kutambua hawa "wakubwa" wanakawaida ya kuwapa rushwa viongozi wetu ili watekeleze matakwa yao.
Bila kutafakari na akasema, atatumwa mengine makubwa zaidi!!
Huyu kijana alionekana kama mtu mwenye hekima na busara lakini baada ya kuteuliwa anaelekea kufanana na boss wakePamoja na kwamba tunaambiwa kwamba binadamu wote ni sawa ..hili ni kwa sehemu tu ya yale mahitaji ya lazima... Kiuhalisia tunatofautiana pakubwa sana!
Teja kamwe hawezi kufanana na konda wala konda hawezi kufanana na dereva....tuna rankings katika maisha
Cheo cha katibu mwenezi wa CCM ni tofauti kabisa na cha katibu mwenezi wa ACT japo viko kwenye rank moja...Hawa wawili wakiongea kitu kinachofanana impact itakuwa tofauti kabisa
Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu bandarini katibu huyu mwenezi wa CCM anadai kuna mtu/watu walitaka kumhonga mkuu wa nchi dollar million moja karibia na nusu ambayo thamani yake kwa pesa yetu ni kama BILIONI MIA TATU
Haya si madai madogo wala mepesi
Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi, huu ni uhaini. Madai ya uthubutu wa kutaka kumhonga mkuu wa nchi ni kashfa dharau na uchochezi mkubwa kabisa..... Kutaka kumhonga rais ni sawa na kutaka kuipeleka nchi mnadani...