Polepole: Cheche zangu hizi hapa

Polepole: Cheche zangu hizi hapa

Kasinja jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Posts
1,038
Reaction score
1,842
USAHIHI NA UHALALI WA SERA NA MSIMAMO WA CCM

Mnamo mwezi wa April 2017, Kabla ya Majadiliano na Barrick walisema kwa kuzuia makinikia tutashtakiwa na kushinikiza tuachane na jambo hilo.

Ilipofika kwenye mwezi wa Julai 2017, tukaendelea kusimama imara na kuwapuuza, Mtendaji wa Barrick akaja na kukiri makosa na kukubali lazima Tanzania ipate haki yake katika uchimbaji madini. Wapinzani wakasema sio kweli na hatukuelewa kiingereza cha Bwana Thornton. Tuliwapuuza na tukaanza majadiliano kwa umakini mkubwa, kwasababu hawakujua mazungumzo yalikuwaje, wakazusha kwamba ngoma nzito, na eti majadiliano yamekwama.

Leo Mwezi wa Oktoba 2017, Majadiliano yameisha na Mtendaji wa Barrick amesema haya ni makubaliano bora zaidi kuingiwa huenda Duniani. Tanzania inapata gawio la umiliki migodi asilimia 16 na itapata gawio la faida baada ya kodi zote kukatwa la asilimia 50 na Barrick asilimia 50.

Maana yake ni 16% + 50% ya faida + Kodi zote kwa mujibu wa sheria + Bilioni 700 za awali na Mazagazaga mengine kibao kwa watanzania.

Wapinzani mufilisi wanasema eti tukatae twende Mahakamani.

Tumewashtukia, tumewang'amua mnataka kutuchezesha ngoma ya kitoto ilhali sie watu wazima.

Kwa Serikali ya CCM, Endeleeni kuchapa kazi maana 2020 tutatoa hesabu kwa ushahidi, hawa jamaa wa kuzungusha ngumi na vidole uma hawana cha kupoteza

Rais Magufuli ameshaelekeza kufumua pia maeneo mengine ya madini katika Almasi na Tanzanite ili kuhakikisha kila haki ya watanzania inapatikana. Najua katika mchakato na vita hii tutakanyaga vidole vya baadhi ya watu tunafanya kwa nia njema na maslahi mapana ya watanzania.

Waendelee kuzungusha ngumi wakati sisi tukizungusha gurudumu la Maendeleo ya Taifa, wakati wao wakinyoosha vidole sisi tupambane kunyoosha nidhamu ya Nchi na hasa kwa watumishi na Viongozi wetu.

Ukombozi wa Kiuchumi ni Sera ya CCM Awamu ya V na ni hakika

Ndg. John Pombe Joseph Magufuli watanzania wamekuamini simamia haki zao, unaacha alama kubwa katika maisha ya wananchi wa kawaida, utabarikiwa hapa duniani na mbinguni, komaa baba, sisi watu wa kawaida tuko nawe na tunaona matunda ya kazi zako.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Kumbe CCM inaishi kwa awamu (matumaini) V! Nchi haiwezi kuendelea chini ya mfumo usio endelevu.
 
Magufuli ni level nyingine muda utaongea, kama issue ya madini ameiweza basi hatashindwa na kitu chochote tumpe ushirikiano tu Tanzania itafika mbali.
 
Miaka 55 ya Uhuru Chadema ndiyo walikuwa watawala,shame on you CCM
 
Polepole, hizi balimi saba tunywe huku tukisubiri Noah au ndio tunywe tukalale?
Alafu mbona niko bar na wananiambia siwezi pata balimi hata moja kwakuwa hela hamna. Ila nyie lakini ....!

Inamaana hakuna kilichopatikana kabisa?
Halafu ni accounts za wapi unakuwa na hisa 16% , upate gawio la hiyo 16% na 50% ya faida bila sababu za msingi?
Polepole elewa kiingereza, 'too good 'is not good at all , actually, it is bad.

Au uliingia na hiyo sura yako ya ajabu kwenye majadiliano wazungu wakaogopa?
 
Magufuli ni level nyingine muda utaongea, kama issue ya madini ameiweza basi hatashindwa na kitu chochote tumpe ushirikiano tu Tanzania itafika mbali.

Naona kwa mauaji ya watanzania wasiyo na hatia atashindwa.
 
USAHIHI NA UHALALI WA SERA NA MSIMAMO WA CCM

Mnamo mwezi wa April 2017, Kabla ya Majadiliano na Barrick walisema kwa kuzuia makinikia tutashtakiwa na kushinikiza tuachane na jambo hilo.

Ilipofika kwenye mwezi wa Julai 2017, tukaendelea kusimama imara na kuwapuuza, Mtendaji wa Barrick akaja na kukiri makosa na kukubali lazima Tanzania ipate haki yake katika uchimbaji madini. Wapinzani wakasema sio kweli na hatukuelewa kiingereza cha Bwana Thornton. Tuliwapuuza na tukaanza majadiliano kwa umakini mkubwa, kwasababu hawakujua mazungumzo yalikuwaje, wakazusha kwamba ngoma nzito, na eti majadiliano yamekwama.

Leo Mwezi wa Oktoba 2017, Majadiliano yameisha na Mtendaji wa Barrick amesema haya ni makubaliano bora zaidi kuingiwa huenda Duniani. Tanzania inapata gawio la umiliki migodi asilimia 16 na itapata gawio la faida baada ya kodi zote kukatwa la asilimia 50 na Barrick asilimia 50.

Maana yake ni 16% + 50% ya faida + Kodi zote kwa mujibu wa sheria + Bilioni 700 za awali na Mazagazaga mengine kibao kwa watanzania.

Wapinzani mufilisi wanasema eti tukatae twende Mahakamani.

Tumewashtukia, tumewang'amua mnataka kutuchezesha ngoma ya kitoto ilhali sie watu wazima.

Kwa Serikali ya CCM, Endeleeni kuchapa kazi maana 2020 tutatoa hesabu kwa ushahidi, hawa jamaa wa kuzungusha ngumi na vidole uma hawana cha kupoteza

Rais Magufuli ameshaelekeza kufumua pia maeneo mengine ya madini katika Almasi na Tanzanite ili kuhakikisha kila haki ya watanzania inapatikana. Najua katika mchakato na vita hii tutakanyaga vidole vya baadhi ya watu tunafanya kwa nia njema na maslahi mapana ya watanzania.

Waendelee kuzungusha ngumi wakati sisi tukizungusha gurudumu la Maendeleo ya Taifa, wakati wao wakinyoosha vidole sisi tupambane kunyoosha nidhamu ya Nchi na hasa kwa watumishi na Viongozi wetu.

Ukombozi wa Kiuchumi ni Sera ya CCM Awamu ya V na ni hakika

Ndg. John Pombe Joseph Magufuli watanzania wamekuamini simamia haki zao, unaacha alama kubwa katika maisha ya wananchi wa kawaida, utabarikiwa hapa duniani na mbinguni, komaa baba, sisi watu wa kawaida tuko nawe na tunaona matunda ya kazi zako.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Kwa nini mkalimani alizuiliwa na rais asitafsiri maneno ya kabudi kwa kiingereza na mzungu naye akasikia maana yake ni nini ccm munaangalia wapinzani hamjui tupo tusio na vyama hatumjui zito wala mbowe na hatujui ccm ni Kitu gani hatujasikia hatima ya makinikia tunasikia mambo mengine kabisamuelewe tusio na vyama tuna maamuzi zaidi yenu munaokula na kulala ndani ya siasa hatima ya taiga hili so yenu nyie tumewaamini tu OK muda utaongea
 
Polepole, hizi balimi saba tunywe huku tukisubiri Noah au ndio tunywe tukalale?
Alafu mbona niko bar na wananiambia siwezi pata balimi hata moja kwakuwa hela hamna. Ila nyie lakini ....!

Inamaana hakuna kilichopatikana kabisa?
Halafu ni accounts za wapi unakuwa na hisa 16% , upate gawio la hiyo 16% na 50% ya faida bila sababu za msingi?
Polepole elewa kiingereza, 'too good 'is not good at all , actually, it is bad.

Au uliingia na hiyo sura yako ya ajabu kwenye majadiliano wazungu wakaogopa?
Nenda argentina ukaangalie mikataba yao...
 
Ajitokeze hadharani afafanue LEGITIMACY inavyofanya kazi ndani ya CCM.

Kama alivyotaka ifanye kazi kwa Mh Lowassa. Halafu atoe tofauti ya hongo USD 300m aliyoshutumu mwanzo

Na malipo haya ya kujenga uaminifu.
 
Fisiem ivi huwa wanaacha wapi akili wakija huku kwenye social media? Kwani iyo mikataba waliingia wapinzani au 'ccm ni ileile'? Kwani kwenye miswada na hati za dharura walikua wanapitisha upinzanii au 'ccm ni ileile' mbona mnakua kama nyie ni upinzani, hayo madudu si ni bora mngeyafanya ikawa siri ya ndani? JPM kawa bungeni 20+ years, alikua hapitishi iyo miswada au yeye alikua chaumma.
Muwe mnakuja na akili zenu kwenye social media
 
Back
Top Bottom