jiwe la maji
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 1,062
- 706
Tuzidi kujifunza
pia Capital Radio anasikika.
101.3 FM Dar
Ni marejeo,maana hakuja jipya zaidi ya aliyowahi kuongea.Anatambaa mlemle tu
Serikali tatu ni za Waryoba na wanaharakati, watanzania bado wanaamini serikali 2 ni bora zaidiHakika ma c.c.m yamelaaniwa kutunyima katiba mpya kutokana na hila na fitina zao!