Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Umerudi sasa🙌Nasema nini......
Mavi hayanaga miiba, lakini ukiyakanyaga lazima utachechemea...😜
Ukitekwa na magaidi katika ambush ukawekewa bunduki kichwani ukubali jambo, ukikubali, halafu ukawa umenusuru uhai wako, baadaye ukakubali kuwa pale nilikubali jambo kwa sababu nilikuwa nimetekwa tu, waungwana tutakuelewa.POLEPOLE ANA MGOMBEA WAKE MFUKONI?
Lilipoulizwa swali la huenda kupitishwa kwa mgombea mmoja kwenye kugombea nafasi ya Urais ikawa ni uoga wa kushindwa kwenye mkutano mkuu, Dkt. Dennis Muchunguzi anasema hakuna uoga wowote kwasababu wajumbe wa mkutano mkuu ambao ndio WAPIGA kura ndio waliamua wenyewe kumpendekeza mgombea ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa nafasi ya Urais na Dkt. Hussein Mwinyi kwa nafasi ya Urais wa Zanzibar, hivyo wazi halikutoka kwa mgombea.
Dkt. Muchunguzi ambaye ni mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni alipoulizwa kuwa huenda Ndg. Polepole ana mgombea wake mfukoni akasema hajui mifuko yake.
Hayo yamezungumzwa kwenye Podcast ya Kikao cha Dharura na Kabwanga
Vipi wewe unadhani Ndg. Polepole ana Mgombea wake mfukoni?
Nje ya mada, we hujui ht maana ya utafiti achilia mbali unafanyikajeKwa utafiti nilioufanya nathibitisha kusema huyu mama hawamtaki watanzania.Utaratibu uliotumika kumpitisha ni wa kinyume na utaratibu na waliolazimisha huo utaratibu ni wahuni tu kutoka msoga na lengo lao ni kuendelea kuwa washika remote
Sasa wewe kichaa ambaye hata kuandika tu Kwa ufasaha hujui utapata wapi akili ya kuhoji akili kubwa?Nje ya mada, we hujui ht maana ya utafiti achilia mbali unafanyikaje