GE2025 Polepole amshauri Rais Samia asichukue fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Kada wa chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole hii leo Agosti 08, 2025 amemsihi Rais Samia Suluhu kutochukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akihoji anataka kwenda kushindana na Salum Mwalimu wa CHAUMMA,

"Unataka ukagombee na Salumu Mwalimu wa CHAUMMA ndio unapata amani ya moyo, unapata amani ya moyo kabisa, unapata amani ya moyo kabisa ukagombee na Luhaga Mpina wa ACT Wazalendo, kweli?" - Humphrey Polepole, Kada wa CCM.
Your browser is not able to display this video.
 
Safari hii kiki imemkubali huyu
 
 
Huyu kama ipo siku ataeleweka tu.
Mpina ccm, Salimu Mzanzibari, maana yake Aachiwe TL mabadiriko yafanyike apate washindani halisi.
 
Sijui kwa nini watu hawaelewi, ila huyu bibi ataenda kugombea na atashinda
Sio kwa sababu wananchi wanamkubali, ila kuna wizi wa kura utafanyika. Mnamu underrate sana Samia, huyu bibi ni muhuni kuliko mnavyodhania.... Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…