Poleni walimu

Katika elimu kama wewe ni teacher by professional huwezi kumpatia zero Huyo, MPE hata 02% up to 05% coz he is aware of the question but has failed on how to tackle it, maybe it is due his or her poor in English.
Kumbuka kuna iron learners inatakiwa uwaangalie sana
 
Daah kweli walimu wana kazi
Kibaya zaidi watoto haohao wenye IQ za hivyo ndio watovu wa discipline, kwa hiyo hawasaidiki ,wangekuwa wanakosea kwa sababu nyingine sawa lakini indiscipline inayotokana na dunia ya utandawazi unaosababisha watoto nao wanataka kukimbia sawa nayo kupita hata spidi ya kuelimika kwao!
 
uko sahihi mkuu
 
ngoja system ya kuishia la sita ifike,
hata kuandika maandishi yenyewe watakua wanashindwa
 
Mbona kajitahidi sana..... Tembea mashuleni ujionee..

Huyo kaelewa hata swali.
 
Kama anajua kusoma na kuandika, hiyo inamtosha kabisa. Hapo asubirie kupata mavyeo maana yapo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…