Poleni sana.

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Ni kawaida ya watanzania kupeana pole pale unapomuona mwenzako yupo katika hali Mbaya,napenda nianze kuwapa pole mwenyeji na wakazi wa mkoa wa Mwanza kwa kufungwa na Mbeya kwenye fainali ya Taifa cup,pia niwape pole wapenzi na wanachama wa Simba sport club kwa kufungwa 3 - 0 na timu ya Waydad Casablanca ya Morroco,mwisho nawapa pole mashabiki wa Man u kwa kulikosa kombe la klabu bingwa ulaya kwa kupewa kipigo cha mbwa mwizi toka kwa vijana wanaocheza mpira wa kuvutia wa BARCELONA.Jueni na tambueni kuwa mpira una matokeo 3 yaani,kushinda,kufungwa na kutoka sare.Huo ndo mpira.Big up 2 BARCELONA KWA KUCHUKUA UBINGWA.
 
Ukisikia uchokozi ndio huu!
 
Back
Top Bottom