Waambieni wabunge wenu waanze kujiuzulu ndio tuone kuna walakini. ACHENI unafiq.Tuko wengi..........na bado tuna imani one day yes.matokeo yanawalakin mkubwa saana.wenyewe wanajuwa.
Waambieni wabunge wenu waanze kujiuzulu ndio tuone kuna walakini. ACHENI unafiq.
I never used such languages.Nilijuwa tu utakuja....kama uko tayari kujadili bila ya kutumia lugha ya matusi tafadhali weka affidavit yako hapa.
I never used such languages.
Umeandika UNAFIK....usitoe tafsiri mpya kama ya pumbavu na ulofa.
Do you see, you can't even control your venomous. What a pathetic ukawanite.Umeandika UNAFIK....usitoe tafsiri mpya kama ya pumbavu na ulofa.
Sasa huo siyo unafiq....anaonesha hali halisi na si lazima kila mtu awe upande huo.Sikujui hunijui lakini na kuheshimu hivyo naomba niondoke nikafanye ibada ya Asr.
Umeandika UNAFIK....usitoe tafsiri mpya kama ya pumbavu na ulofa.
Tuko wengi..........na bado tuna imani one day yes.matokeo yanawalakin mkubwa saana.wenyewe wanajuwa.