Poleni Mano date kizazi cha .com

Poleni Mano date kizazi cha .com

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,350
Sisi date zetu hazikuwa na gharama, mawasiliano ya barua. Unnandika barua kwa Asprin unampa housegirl wenu aipeleke akifika kule anakutana na houseboy was nao wanatongozana. Hubs haja ya vocha ya simu.

Msure akitoka ndiyo una Kirovabad simu ya TTCL Enti zile unazungusha namba. Unamfahamisha kuwa Jumamosi ile picnic haitawezekana Msure ameamua kuwa mnakwenda Kiluvia shamba wakati ule kote kule ilikuwa ni mapori.

Hakukuwa na instagram urushiwe picha ya Sakayo amepose na Asprin lakini waliowaona watakupa details kama unaangalia movie
 
Hapo kwenye simu ya TTCL umenikumbusha mbali sana, zilikuwa zinajengewa kibox, tuliyokuwa wataalamu tulikuwa tunatuma kijiko kubonyeza. yani tulikuwa tumekalili mkao wa namba. aah zamani raha sana.
 
kutongozana kwenye simu za ttcl zile za kuzungusha ilikuwa mwake sana!!
 
Yaan mnapangiana muda maalum wa kupiga ukikosea muda mara kapokea mama au baba sasa kimbembe

Sio siku hizi eti unampigia mwenyewe!
Si kupiga tu hawalali wanakesha wakichat whastup na instagram matokeo yake ni kufeli mitihani
 
hahaha sana..
inabidi ukariri ratiba za wazazi wake manzi za wiki nzima bila kupenda
Ukijua ni mida ya simu yako huchezi mbali na ukipokea unsishia kuitikia mmh, sawa, basi kwaheri
 
Back
Top Bottom