Pole sana Lissu

Umenikumbusha jamaa yangu mmoja hivi alikuwa na njumu halaf mpira ni wake na kucheza hajui ni rafu tupu uwanjani na mkimzingua anaondoka na mpira wake basi ni lazma acheze mpaka mwisho wa mchezo.

Ni hatari sana aisee.
 
Ndio itakuwa vyema ukibambanua kwa wenye vichwa vigumu kama changu au unazungumzia athari atazopata lisu kutokana na mkutano huo
Yaweza kuwa na tofauti zaidi ya moja.
Tafsiri yangu ni kuwa Lissu ajiangalie kwani Lowasa yupo tayari kuishi akiwa ana umia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…