Pole sana Jakaya Kikwete


Piga mswaki ukalale, maana walau uwe na kinywa kisafi kwani akili yako sio safi hata kidogo na dhaifu sana
 
Unajua nguvu za Mwenyekiti wa CCM?
 
Nakubaliana na wewe, ata magufuli alijaribu kumuweka mwinyi kama mgombea mwenza akazidiwa na ccm. Ikabidi aweke samia
 
Mwalimu nyerere alikua na uwezo gani wa kukata jina la JK na kuweka la mkapa
 
Kikwete ni shujaa sana, aliliepusha taifa na Fisadi Mkuu. Kwenye list of shame ya CHADEMA fisadi E. Lowasa alikuwemo, ulitegemea Kikwete ambebe mtu kama huyo!
 
Hata alipogombea urais kupitia chadema alichezewa na msaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…