Pole saana Lowassa

Mzimu wa Lowassa utawatesa sana. Hakuna siku iendayo kwa Mungu Lumumba hamumtaji Lowassa.
 
Mzimu wa Lowassa utawatesa sana. Hakuna siku iendayo kwa Mungu Lumumba hamumtaji Lowassa.

Mzimu unawatesa UKAWA. Wanaingia bunge la Serikali ipi kama si ya MAGUFULI, huku mkismea hamumtabui Rais Magufuli?
 
Ataleta au ameleta? Uliwah kuamini hata siku moja Lowassa nae angekuwa analalmika kura zake " kuibiwa?"

hahahahaaa! Nmeipenda hyo. Jambaz sugu linapolalamika kuporwa simu
 
We Kunguni, acha kuchanganya Mambo, ndio maana LOWASSA, alisisitiza ELIMU ELIMU ELIMU.

Bunge na serikali ni vitu viwili tofauti kabisa! Kasome tena Uraia!
Kijana hujui usemalo.
1. Wabunge ni wawakilishi wa wananchi.
2. Wabunge wapo Bungeni kutunga sheria za nchi. Hii ndio kazi ya Bunge.
3. Rais ni kiongozi wa juu wa nchi na wananchi.
4. Serikali ya Rais Magufuli ndio ina execute sheria za nchi zilizo tungwa Bungeni.

Sasa nani mwenye nchi kama sio Rais Magufuli. Kama hujui, Serikali ni ya Rais Magufuli na Sheria za nchi ni za Serikali yake.

Nyumbu bado ni Nyumbu hata kama ukimfuga kama Mbuzi.
 
Kwenye nchi kuna mihimili mingapi we kenge? Inaonekana hata hukufika sekondari, Ungesoma CIVICS usingetusumbua hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…