Yaa ni kwel sio huyu wa ccm, nimeona Kuna MTU amefungua Uzi anamsifia polepole huyu wa ccm kwa mabasiTangu nianze kuziona Polepole Classic sikuwahi kudhani kama ni za Chakubanga, nina Imani ni za mtu mwingine kabisa.
Yaa ni kwelPolepole wa Babati alianza maisha muda kabla ya huyo wa CCM hajavuma, ni watu wawili tofauti
Awasifie tu kina Msukuma, Abood, Shabiby et al...Yaa ni kwel sio huyu wa ccm, nimeona Kuna MTU amefungua Uzi anamsifia polepole huyu wa ccm kwa mabasi
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa nini jamaa aliitwa Chakubanga?Tangu nianze kuziona Polepole Classic sikuwahi kudhani kama ni za Chakubanga, nina Imani ni za mtu mwingine kabisa.
Sina jibu sahihi ila Yericko Nyerere ndio ana jibu sahihi maana alisema ndio alianza kumuita Chakubanga
Mkuu Huyo polepole wa mabasi sio Humphrey huyo wa ccm, huyu jamaa polepole anaitwa Massawe anaishi Kata ya Babati mjini mtaa Nyunguu amewekeza sana Babati ana truck za mizigo za kutosha,
Ana maduka ya vifaa vya umeme na phone's accessories makubwa tu yapo Babati mjini
Lakini pia amewekeza kwenye Mali zisizohamishika (ana nyumba maeneo mbalimbali amepangisha kwa watu nyumba za kuishi lakini pia ana guest houses za kutosha kwa Babati zimeandikwa Pole lodge utakuta Pole 'A' Pole 'B'n.k)
Na pia hizo buses zinapiga routes za Arusha-Moshi- Nairobi zikitokea Babati lakini pia Dodoma na Singida to Dar zikitokea Babati
huyu jamaa namfaham sio mkubwa kivile anaeza kuwa kwenye 40's alikuwa anatumia gari ndogo kutembelea Suzuki vitara black in colour miaka ya 2000's sijui kama kabadilisha now ILA sio pole pole wa CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
KhkhkhkhTangu nianze kuziona Polepole Classic sikuwahi kudhani kama ni za Chakubanga, nina Imani ni za mtu mwingine kabisa.
Yaa duka lake lipo karibu maisha mapya near to ofisi za mtei stand ya zamanUpo sahihi mkuu,polepole wa mabasi yuko babati na duka lake lipo pale stendi imeandikwa pia polepole halafu kwa magari ya asubuhi kwenda arusha utamwona sometimes akisimamia na kupokea hela,jamaa ni mweusi hivi umbo la wastan
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧