Eliezar Mlwafu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2013 Posts 449 Reaction score 140 Mar 4, 2017 #1 Naomba kujua Ipi ni gari imara kati ya RAUM NEW MODEL na SPACIO NEW MODEL,ambayo unaweza weza kwenda nayo mkoani bila shida yoyote.Asante
Naomba kujua Ipi ni gari imara kati ya RAUM NEW MODEL na SPACIO NEW MODEL,ambayo unaweza weza kwenda nayo mkoani bila shida yoyote.Asante
Mbwa dume JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 6,289 Reaction score 10,991 Mar 4, 2017 #2 Zote hizo mimi hata nipewe bure sichukui usiniulize kwa nini.!
J33 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 1,552 Reaction score 1,524 Mar 4, 2017 #3 Spacio new model, sio TU kwamba ni imara Ila inatulia barabarani ukiwa kwenye mwendo mkali kuliko Raum
Spacio new model, sio TU kwamba ni imara Ila inatulia barabarani ukiwa kwenye mwendo mkali kuliko Raum