Rose Mayemba
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 721
- 1,017
Na
Mayemba the iron
Tangu miaka ya tisini Mhe Edward Ngoyai Lowasa amekuwa na utajiri usiokuwa na shaka, mwalimu Nyerere angekuwepo angekuwa shahidi yangu namba moja. TATIZO UNAKURUPUKA SANA.
Kikwete Rais wangu mstaafu( sorry anayekaribia kuachia ngazi) jeuri yake yote alikuwa akipiga magoti kwa Rais wangu Lowasa kwa sababu alijua kupitia fedha alizonazo atamsaidia kushinda Urais unaompa kiburi Leo hii.
TATIZO WEWE NI SHABIKI USIYEJUA TIMU UIPENDAYO
Lowasa hajaanza kuutafuta Urais Leo, alianza toka enzi za kumpitisha Mhe Kikwete na alitumia pesa zisizo na hesabu kuhakikisha swaiba wake anashinda( hakutegemea kurudisha kupitia serikali ya kikwete maana alizaliwa akiwa tajiri) ndio maana hata baada ya chuki za CCM za kumfitini mwaka 2008 bado hajateteleka na matumizi yake hayakubadilika.
TATIZO UNARUKARUKA KUISOMA HISTORIA YA LOWASA.
Serikali ya chama cha mapinduzi imekuwa na lowasa kwa kipindi chote cha maisha yake ya ujana na imeutumia sana utajiri wake, ni serikali yenye uwendawazimu peke yake inayoweza kufungua vinywa na kulalama juu ya utajiri wa Mhe wangu Lowasa.
SHIDA YAKO UMEUFINYA UBONGO WAKO USIELEWE KAMWE YANAYOMHUSU LOWASA.
Kwa mara ya kwanza ulimwengu unashuhudia serikali inalalamika bila kuchukua hatua stahiki kwa wanaowaita mafisadi nawe bila kujitafakari UNATUMIA BILA KUJIELEWA
Mimi sina moyo wa chuma nimeshindwa kuuvumilia upuuzi huu.
NIKIFA LEO WATASIMAMA WENGINE WATASEMA