Pole mtani

Tatzo walianza na mikwala sana wanajiita wa kimataifa kumbe wanaenda kishangaa magorofa
 
mapokezi wamejiandaa fanya yako
 
Tatzo walianza na mikwala sana wanajiita wa kimataifa kumbe wanaenda kishangaa magorofa
[emoji12] [emoji12] [emoji14] [emoji14] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inauma kwa sababu malinzi kaja kuua soka letu ukichanganya na mbwembwe za yanga kichwa kinaweza pasuka mawazo
 
Weusi bongo zetu ni dhaifu sana,akili hii huikuti kwa weupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…