L lebabu11 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2010 Posts 4,030 Reaction score 4,025 Nov 24, 2020 #21 Lissu na viongozi wengine wa Chadema wanazo akili nzuri na zinazotosha. Wabunge wa viti maalum ndiyo jukwaa pekee rasmi la mapambano. Ni wajinga tu wanaoshupaza shingo zao wakati nguvu kubwa inatumika kuzivunja.
Lissu na viongozi wengine wa Chadema wanazo akili nzuri na zinazotosha. Wabunge wa viti maalum ndiyo jukwaa pekee rasmi la mapambano. Ni wajinga tu wanaoshupaza shingo zao wakati nguvu kubwa inatumika kuzivunja.
gTurn JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 4,643 Reaction score 7,415 Nov 25, 2020 #22 manina tunasafari ndefu sana kwa akili hizi WAZIWAZI said: Lissu kwa sasa ni mwehu maombi yenu ni muhimu sana Click to expand...
manina tunasafari ndefu sana kwa akili hizi WAZIWAZI said: Lissu kwa sasa ni mwehu maombi yenu ni muhimu sana Click to expand...