Kilichokufanya ushindwe kumuuliza maswali hayo ni nini? N kilichokupeleka huko ni nini kama si njaa?
Huna mvuto, hata hao Kondoo wa Bwana wewe utawapoteza!!
Huyu naye sijui nani kamdanganya kuwa anaweza kuwa rais...nchi hii urais umekuwa mwepesi mnooo watu wanawaza tu kuwa matais as if ni jambo jepesi....hii sio Tanzania ninayoijua