profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,596
- 3,442
Go Putin go!Waziri mkuu wa poland amesema vikwazo walivyoiwekea urusi havina maana yoyote,kwani urusi haiathiriki kama walivyotarajia,na thamani ya pesa yake inapanda,fungua screenshort hapo chini,wamarekani wa mbagala rangi tatu karibuni..View attachment 2173148View attachment 2173149View attachment 2173150
wewe unajua hili ila PM wa POLISH halijui hili?Ni swala la muda tu Russia wataanza kulia kwani exports itashuka kwa kiwango cha kutisha na hawafanyi tena import ya maana.
Gharama ya vita ni kubwa mno na hiyo ndio itawamaliza kabisa kuliko hata kuanguka kwa hayo madafu yao.
Kweli umeloa.......kama mbwa kokoNi swala la muda tu Russia wataanza kulia kwani exports itashuka kwa kiwango cha kutisha na hawafanyi tena import ya maana.
Gharama ya vita ni kubwa mno na hiyo ndio itawamaliza kabisa kuliko hata kuanguka kwa hayo madafu yao.
Kama wazili kasema hivi wewe upo tandale yemen unasema hivi nani tumsikilize waziri au wewe wa tandale yemenNi swala la muda tu Russia wataanza kulia kwani exports itashuka kwa kiwango cha kutisha na hawafanyi tena import ya maana.
Gharama ya vita ni kubwa mno na hiyo ndio itawamaliza kabisa kuliko hata kuanguka kwa hayo madafu yao.
Wewe tuu ndo hujaelewa ila sisi tulio wengi tumeelewaTatizo ni chanzo chako cha taarifa. Taarifa ina makosa mengi ya kiuandishi. Hata contexts za kauli zilizonukuliwa na hicho chanzo hazijaeleweka na walio wengi humu.
tofauti ni moja upande mmoja hauna uhuru wa maoni ( Russia ) kuiongelea vibaya serikali hatima yake ni kifo so serikali zinapika taarifa tu bila kujali hatima ya raia wake na upande mwingine kuna uhuru wa maoni au kujieleza ( west )Waziri mkuu wa poland amesema vikwazo walivyoiwekea urusi havina maana yoyote,kwani urusi haiathiriki kama walivyotarajia,na thamani ya pesa yake inapanda,fungua screenshort hapo chini,wamarekani wa mbagala rangi tatu karibuni..View attachment 2173148View attachment 2173149View attachment 2173150
Unaongea as if urusi anaexport ndizi.Ni swala la muda tu Russia wataanza kulia kwani exports itashuka kwa kiwango cha kutisha na hawafanyi tena import ya maana.
Gharama ya vita ni kubwa mno na hiyo ndio itawamaliza kabisa kuliko hata kuanguka kwa hayo madafu yao.
Au sioWaache kupeleka bidhaa yoyote urussi mpaka toilet paper Na dawa ili tuwaone
Ni swala la muda tu Russia wataanza kulia kwani exports itashuka kwa kiwango cha kutisha na hawafanyi tena import ya maana.
Gharama ya vita ni kubwa mno na hiyo ndio itawamaliza kabisa kuliko hata kuanguka kwa hayo madafu yao.