GE2025 Pof. Lipumba: Tuliamua kushiriki uchaguzi kuonyesha uzalendo, Rais Samia waambie vyombo vyako kura zihesabiwe kama zilivyopigwa na wananchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amesema Chama chao kiliamua kushiriki Uchaguzi Mkuu ili kuonyesha uzalendo na kudumisha amani na mshikamano kama Taifa moja

Prof. Lipumba amesema hayo Oktoba 5, 2025 kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala kupitia Chama hicho Sheikh Said Kinyogoli, uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Rangi Tatu, Mbagala jijini Dar es Salaam


Your browser is not able to display this video.
 
Taratibu wataongea ukweli. Kwa nini waliamua kuipa uhalali CCM kuendelea na uchaguzi huu..

Kama mme muelewa ana mpigia kampeni Mama Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…