Podium anayotumia Rais Samia ipo sahihi

Podium anayotumia Rais Samia ipo sahihi

Joined
Jun 4, 2022
Posts
68
Reaction score
184
Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya watu wamekuwa wakihoji PODIUM anayotumia Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kwamba (haijakamilika) yaani haina Bibi na Bwana pamoja na Mlima Kilimanjaro kama ilivyo kwenye Nembo ya Taifa.

UFAFANUZI:

Ukiona 'Podium' yenye nembo inayoonekana hapo chini, jua kwamba ni ya Mheshimiwa Rais pekee kama ilivyo kwenye Bendera yake. Nembo hiyo ni Alama ya Rais (The President). Tofauti na Nembo ya Taifa ambayo inajumuisha Bibi na Bwana pamoja na Mlima Kilimanjaro.
IMG-20230807-WA0007.jpg
Tz_president.gif
 
Nini kifanyike ili hiyo bendera ya Taifa unayotaka ionekane, ionekane bila kupoteza muonekano halisi wa mbao?
 
Iwekwe hata picha ya mnyama atuwakilishe podium ina vitu vingi kweli maji,mundu,shoka,pembe na bendera! Waweke hata picha ya kitu kimoja tu kiwakilishe wapo wachora logo waingie kazini
 
Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya watu wamekuwa wakihoji PODIUM anayotumia Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kwamba (haijakamilika) yaani haina Bibi na Bwana pamoja na Mlima Kilimanjaro kama ilivyo kwenye Nembo ya Taifa.

UFAFANUZI:

Ukiona 'Podium' yenye nembo inayoonekana hapo chini, jua kwamba ni ya Mheshimiwa Rais pekee kama ilivyo kwenye Bendera yake. Nembo hiyo ni Alama ya Rais (The President). Tofauti na Nembo ya Taifa ambayo inajumuisha Bibi na Bwana pamoja na Mlima Kilimanjaro.
View attachment 2710956View attachment 2710957
Adolf Hitler, kabla ya kuwa mwanasiasa, alijulikana kwa ustadi wa kuchora mandhari na majengo lakini aliepuka kuchora watu, labda kutokana na chuki zake au kutojiamini. Sanaa inaonyesha mtazamo wa kiongozi. Kwa mfano, nembo ya Tanzania yenye mwanamume na mwanamke inaashiria usawa wa kijinsia na umoja. Kiongozi akibadilisha nembo hiyo kwa kuondoa vipengele hivi, inaonyesha mabadiliko makubwa ya vipaumbele. Hatua kama hiyo inaweza kuashiria kupuuza maadili fulani au kuelekea mwelekeo mpya. Kubadilisha alama za taifa ni ishara yenye uzito mkubwa, ikidhihirisha malengo ya kisiasa na kijamii, ikiwemo msimamo kuhusu mahusiano ya jinsia.
 
Back
Top Bottom