Kiongozi watumia mtandao gani..?
Iko hivi
Kwenye email setting kuna icon ambayo ukiilaunch inakupeleka kwenye link ya kumanage emails zako,lakini kumejitokeza tatizo la kupata hyo error especially kwenye 9900 BBS,cha kufanya kila mtandao wana weblink ambayo unaweza kuadd email kwa pc,itabidi utumie hyo kwa sasa,kisha utajitumia service books from there na zitaingia kwenye BB yako,then u r done