Dogo huyo first yr hajui kitu na hawez kukushauri. Hiyo coz ipo Conas, ni coz ya ualimu 90%. Ukisoma hi utakuwa mwalimu. Au either upate GPA kubwa kati ya 4 na kuendelea ni mziki, ukpfm vizur unaweza kubakishwa kufundisha chuo. Ila asilimia 96 ya watu wa coz hi ni wanaenda ualimu . Huu ndo ukweli