Isaac Chikoma
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 475
- 101
Nina laptop hp 620,ilikuwa haina shida kabisa,bt lately,nikiwa nacharge betry inacharge mpaka 90%, halafu haiendelei kucharge, inaandika plugged in not charging,rating ya umeme iko ok,nimejaribu adaptor nyingine pia tatizo liko pale pale.help pleez!

Nilikuwa napata tatizo kama hili kwenye laptop yangu ya Dell, uzuri ni kwamba nimei register kwenye support ya Dell na nilipoingia kutafuta support nikaikuta na nili download ka software kakutatatua hilo tatizo. Si tatizo kubwa na lina tatulika kiurahisi. Sijui support za HP zikoje lakini natumai nazo ni nzuri. Nakushauri ingia kwenye website ya support ya HP utatatuwa tatizo lako.
huwa kuna wakati hili tatizo linapotea lenyewe,kwa muda, ila safari hii ndio limejitokeza muda mrefu.
Kama unatumia windows 7, jaribu hii solution: Plugged in, not charging Windows 7 solution : Jeffrey Palermo (.com)