Nina shida na plug genuine za gari ya Volkswagen(VW)maana nahangaika sana kuna wakati nimeweka plug mpya na hazikufanya kazi kabisa nikaweka nyingine mwezi wa tano kufika mwezi wa tisa zimeharibika
Plug hapa wanauza moja rand 250 ukiweza nitumie engine number tu sio Vin number nikuangalizie VW hapo wenyewe hata ukitaka service kit pia na ikishakua hivyo kwenye Vw angalia pia sensor zake moja ipo juu na ingine ya chini kama zipo sawa...
Kama nanunua wiki hii gari inaondoka J2 ijayo sio leo maana leo gari inaondoka..
Vw haitaki vitu vya ujanja ujanja inagoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.