Plotter inaitajika

Plotter inaitajika

buko

Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
52
Reaction score
16
Nahitaji plotter kwa ajili ya printing kwenye mabango, Tshit nk mwenye kua na ufahamu juu ya hiyo kitu naomba anisaidie inapatikanaje na kwa bei gani
 
nahitaji plotter kwa ajiri ya printing kwenye mabango,Tshit nk mwenye kua na ufahamu juu ya iyo kitu naomba anisaidie inapatikanaje na kwa bei gani

Kwa hapa Bongo kupata hii kitu ni shida,; Tembelea website za china utapata large format printers unazotaka. Hizi za kuPrint Tshirt sio lazima ziwe Plotters, zipo printers ndogondogo zinaweza kuPrint TShirts ingawa pia nazo ni za kuagiza.
 
nashukuru sana mkuu
 
Back
Top Bottom