Plots/land/viwanja vya bei nafuu

Plots/land/viwanja vya bei nafuu

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
NDG WATZ WENZANGU NI RAHISI MNO KUMILIKI PLOT NA KUJENGA NYUMBA DAR ES SALAAM KWA KUNUNUA PLOT KWANGU ZA BEI NAFUU. PLOTS ZIKO MSONGOLA ILALA ZA UKUBWA ZIFUATAZO:
50ft * 40ft = 2,000,000/=
100 ft * 40ft = 3,800,000/=

*Mnunuzi anaweza kudouble kadri ya uwezo wake*


Wekenza kwenye ardhi ugundue siri,hakuna hasara,kila siku thamani ya plots zako waongezeka.
:Commission : Kila mteja utakaye mleta na kunuanua kiwanja kwetu ni 50,000/= kwa kila mauzo ya plot 1

Contact: 0717288306(Ogiro)
 
Ni vizuri kutoa tangazo lenye taarifa kamili kama viwanja vimepimwa au vina hati, kama kuna huduma za kijamii karibu kama umeme, maji shule, hospital n.k. Maelekezo ya kufika huko hata kwa mtu asiye mwenyeji wa dar pia ni muhimu.
 
Msongola ni wapi hembu toa ramani nzuri jinsi yakufika hapo Msongola na je viwanja vina hati ?

Biashara za ft zimepitwa na wakati sikuhizi technology imetanuka weka kwa mita tukuelewe .

Nataka heka naweza pata?
 
Msongola ni wapi hembu toa ramani nzuri jinsi yakufika hapo Msongola na je viwanja vina hati ?

Biashara za ft zimepitwa na wakati sikuhizi technology imetanuka weka kwa mita tukuelewe .

Nataka heka naweza pata?

Hahahaaa.. Heka tena? Jamaa anatangaza viwanja vya13 x 16 metres
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom