Unaweza kuchanganya watu. Nadhani it is either 'Plots for Sale' or 'Plots to Sell'. Samahani lakini.
Anyway, hata mi nimevipenda.
Je vipo sambamba kwamba unaweza kuchukua vyote viwli pamoja kwa maana ya 48x50 ama vipo mbali mbali?

Kwa bei hiyo ni sawa viwanja vya size hiyo ndo bei zake,labda kikiwa chanika ndo kitakuwa na bei chini kidogo lakini mbezi,kimara,boko,buju is allmost the same price
Unaweza kuchanganya watu. Nadhani it is either 'Plots for Sale' or 'Plots to Sell'. Samahani lakini.
Anyway, hata mi nimevipenda.
Je vipo sambamba kwamba unaweza kuchukua vyote viwli pamoja kwa maana ya 48x50 ama vipo mbali mbali?
BabaDesi, ukiviunganisha vyote viwili vya 24x25 haiwezi kuwa 48x50. itakuwa either 48x25 or 24x50, nafikiri hesabu za mstatili zilikupiga chenga kidogo. hilo lilikuwa angalizo tu. Manyusi, vipi hivi viwanja vimepimwa? na viko along main road? asante