aingimac New Member Joined Nov 3, 2016 Posts 4 Reaction score 1 Dec 13, 2016 #1 Wakuu kuna plot zipo sokoni,maeneo ya kwa mromboo Arusha. Mwenye navyo ana dharura. Urefu ni 11 kwa 10 tshs 2m,vipo viwili. Ama unaweza chukua vyote viwili (11 kwa 20) kwa 4m.
Wakuu kuna plot zipo sokoni,maeneo ya kwa mromboo Arusha. Mwenye navyo ana dharura. Urefu ni 11 kwa 10 tshs 2m,vipo viwili. Ama unaweza chukua vyote viwili (11 kwa 20) kwa 4m.
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,501 Dec 13, 2016 #2 Mita 11 x 10 ili mtu ajenge nini? Duka?
aingimac New Member Joined Nov 3, 2016 Posts 4 Reaction score 1 Dec 13, 2016 Thread starter #3 Mwana Mtoka Pabaya said: Mita 11 x 10 ili mtu ajenge nini? Duka? Click to expand... Nyumba na maduka. Vyote vinafaa kulingana na uwezo wa mtu mkuu
Mwana Mtoka Pabaya said: Mita 11 x 10 ili mtu ajenge nini? Duka? Click to expand... Nyumba na maduka. Vyote vinafaa kulingana na uwezo wa mtu mkuu
Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Dec 14, 2016 #4 Chanika Mjini(Videte) 50Ft X 50Ft, Bei: 4.5M. Umeme na Maji hapo hapo. 0.6Kms kutoka Barabara ya Lami. 1.7Kms toka Chanika Stand. Pamepimwa kienyeji vizuri kwa Makazi Bora. Kiwanja #29 & #30 Bado vinapatikana. Unajenga na kuhamia Leo leo bila kusubiria Umeme na Maji.
Chanika Mjini(Videte) 50Ft X 50Ft, Bei: 4.5M. Umeme na Maji hapo hapo. 0.6Kms kutoka Barabara ya Lami. 1.7Kms toka Chanika Stand. Pamepimwa kienyeji vizuri kwa Makazi Bora. Kiwanja #29 & #30 Bado vinapatikana. Unajenga na kuhamia Leo leo bila kusubiria Umeme na Maji.