K kasinge JF-Expert Member Joined May 22, 2011 Posts 1,259 Reaction score 319 Dec 20, 2012 #1 Plot ya ukubwa wa futi 90 kwa 50 inauzwa, maeneo ya Toangoma kwa Sako. Ni karibu kabisa na shule ya sekondari ya St. George. Limezungukwa na makazi ya watu. Bei ni sh. mil 2.2. Hamna dalali. Simu: 0652807772. Karibu.:happy:
Plot ya ukubwa wa futi 90 kwa 50 inauzwa, maeneo ya Toangoma kwa Sako. Ni karibu kabisa na shule ya sekondari ya St. George. Limezungukwa na makazi ya watu. Bei ni sh. mil 2.2. Hamna dalali. Simu: 0652807772. Karibu.:happy:
M Mfuatiliaji Senior Member Joined Jun 5, 2008 Posts 153 Reaction score 33 Dec 20, 2012 #2 ina mana sqt meter less than 500
K kasinge JF-Expert Member Joined May 22, 2011 Posts 1,259 Reaction score 319 Dec 20, 2012 Thread starter #3 Mfuatiliaji said: ina mana sqt meter less than 500 Click to expand... Sio kweli, is 90/3 times 50/3 = 528 sqm
Mfuatiliaji said: ina mana sqt meter less than 500 Click to expand... Sio kweli, is 90/3 times 50/3 = 528 sqm
D DAVIES JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 516 Reaction score 90 Dec 21, 2012 #4 toangoma kwa sako ndio wapi huko muwe mnatoa ramani kamili watu waelewe
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Dec 21, 2012 #5 Huko ni mkoa gani katika nchi yetu!
Nivea JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,771 Dec 21, 2012 #6 TUKUTUKU said: Huko ni mkoa gani katika nchi yetu! Click to expand... kigamboni hiyo.ukitoka feri- mji mwema- kibada- mikwambe- then toangoma ni sehemu nzuri sana na mji ule unakuwa sana
TUKUTUKU said: Huko ni mkoa gani katika nchi yetu! Click to expand... kigamboni hiyo.ukitoka feri- mji mwema- kibada- mikwambe- then toangoma ni sehemu nzuri sana na mji ule unakuwa sana
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Dec 21, 2012 #7 nivea said: kigamboni hiyo.ukitoka feri- mji mwema- kibada- mikwambe- then toangoma ni sehemu nzuri sana na mji ule unakuwa sana Click to expand... Duh!kweli nimekubali Dar es salaam ni jiji kubwa!
nivea said: kigamboni hiyo.ukitoka feri- mji mwema- kibada- mikwambe- then toangoma ni sehemu nzuri sana na mji ule unakuwa sana Click to expand... Duh!kweli nimekubali Dar es salaam ni jiji kubwa!
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,884 Reaction score 33,026 Dec 21, 2012 #8 kasinge said: Sio kweli, is 90/3 times 50/3 = 528 sqm Click to expand... Ni kweli alichosema Mfuatiliaji na wewe ndio sio mkweli...... 90/3.3 times 50/3.3 = 413.223 m sq Mita moja ni futi 3.3 na sio futi 3 kamili.
kasinge said: Sio kweli, is 90/3 times 50/3 = 528 sqm Click to expand... Ni kweli alichosema Mfuatiliaji na wewe ndio sio mkweli...... 90/3.3 times 50/3.3 = 413.223 m sq Mita moja ni futi 3.3 na sio futi 3 kamili.