Plot for sale!

Plot for sale!

Dj mat

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
747
Reaction score
476
MAHALI:Salasala-kilimahewa(mt.500 toka mwisho wa lami)
UKUBWA:30*40 (hakijapimwa)
BEI :Tsh 28M(maelewano yapo)
Mwenye kuhitaji anaweza kuwasiliana na mm-0712 753 990 au unaweza kuni pm kwa maelezo zaidi.
Karibuni!
 
Bei za kawaida sna maeneo hayo.kilichopimwa ni zaidi ya Tsh 50M .Uliza wanaofahamu maeneo hayo watakujuza zaidi
 
Bei za kawaida sna maeneo hayo.kilichopimwa ni zaidi ya Tsh 50M .Uliza wanaofahamu maeneo hayo watakujuza zaidi

Hivi kupima kiwanja ni ni garama kiasi hicho? Kwamba kama hakijapiwa ni 28 ni kilichipimwa ni 50m? So garama ya kupima kiwanja ni zaidi ya 20M?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi kupima kiwanja ni ni garama kiasi hicho? Kwamba kama hakijapiwa ni 28 ni kilichipimwa ni 50m? So garama ya kupima kiwanja ni zaidi ya 20M?


Sent from my iPhone using JamiiForums

Mkuu chaguo ni lako coz unaweza nunua ambacho hakijapimwa kwa bei nafuu ukapima mwenyewe.Unashangaa cha 50M wkt watu wananunua hadi 350M na kuendelea?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom