Sasa "plot" yenye eneo la 20 SQM mtu alipe 16M ili afanyie nini?! Tena Bonyokwa! Au ili ajenge frame moja ya biashara?!NAUZA KIWANJA KIPO DAR KIMARA BONYOKWA
UKUBWA;SM 20 (SQUARE METRE 20) kiwanja kina nyumba ya vyumba viwili.
BEI;MILION 16.
Contact;0687886600
Pia napangisha vyumba na nyumba kmara...ukihtaji nyumba/chumba cha kupanga wasiliana nami.
Sasa "plot" yenye eneo la 20 SQM mtu alipe 20M ili afanyie nini?! Tena Bonyokwa! Au ili ajenge frame moja ya biashara?!
Unauza plot yenye 20 SQM huku kukiwa na nyumba yenye vyumba viwili au unauza nyumba yenye vyumba viwili huku kukiwa na kaeneo kadogo ka 20 sqm kamebaki ambako hadhi yake ni kuwa baraza?!
Ulikuwa unajaribu kusema nini hasa ndugu muuzaji?!
Au ulikuwa unajaribu kusema 20Mx20M ambayo ni 400SQM?
asante kwa kunielewesha mkuu nmekuelewa...nmerekebisha postSasa "plot" yenye eneo la 20 SQM mtu alipe 16M ili afanyie nini?! Tena Bonyokwa! Au ili ajenge frame moja ya biashara?!