Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,225 Reaction score 45,912 Sep 9, 2026 #21 mrangi said: π juzi kati nmeambiwa kuna dada tu kanunua eneo obay ,bongoyo usd 4.5 Watu mzee pesa ipo Ova Click to expand... Safi sana watu wanapambana sana.
mrangi said: π juzi kati nmeambiwa kuna dada tu kanunua eneo obay ,bongoyo usd 4.5 Watu mzee pesa ipo Ova Click to expand... Safi sana watu wanapambana sana.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,078 Reaction score 137,323 Sep 9, 2026 #22 Isanga family said: Safi sana watu wanapambana sana. Click to expand... Zaidi ya kupambana Kuna watu wako kwenye mfereji π Ova
Isanga family said: Safi sana watu wanapambana sana. Click to expand... Zaidi ya kupambana Kuna watu wako kwenye mfereji π Ova
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,225 Reaction score 45,912 Sep 10, 2026 #23 mrangi said: Zaidi ya kupambana Kuna watu wako kwenye mfereji π Ova Click to expand... Watu wanahonga kiwanja na nyumba Obay mkuu taarifa ya CAG kama haifanyiwi kazi wafanyeje..
mrangi said: Zaidi ya kupambana Kuna watu wako kwenye mfereji π Ova Click to expand... Watu wanahonga kiwanja na nyumba Obay mkuu taarifa ya CAG kama haifanyiwi kazi wafanyeje..
Kishimbe wa Kishimbe JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 7,428 Reaction score 8,052 Sep 10, 2026 #24 Lavit said: Yan bongo viwanja vina bei kuzidi hata New York π Click to expand... Watu wananunua lakini, .... haipiti wiki huo uwanja unaweza ukauzwa hata kwa hela zaidi ya hiyo!
Lavit said: Yan bongo viwanja vina bei kuzidi hata New York π Click to expand... Watu wananunua lakini, .... haipiti wiki huo uwanja unaweza ukauzwa hata kwa hela zaidi ya hiyo!