Means anaeuza hana akili nzuri??Ukiwa na akili nzr kinaweza kuwa na zaidi ya ITM kama sio bank kabisa mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine tunakusaidia uweke maelezo mengi ili ijulikane ni kwa nini kinauzwa kwa shilingi bilioni moja!!Ukiwa na akili nzr kinaweza kuwa na zaidi ya ITM kama sio bank kabisa mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maeneo haya ni kwa ajili ya biashara nk ila kama una hela kidogo Viwanja vya kujenga Nyumba tunavyo Goba Mita 25 kwa 25 bei 10mNadhani ni lazima nyumba iwe imevunjwa. Kinyume cha hapo ngoja tusubiri.
Kama ni kwa nyumba ya kuishi tu bado ni ghali, labda iwe ni kwa ajili ya kujenga jengo la kufanyia biashara.
Mkuu kila eneo Lina wateja wake kwahyo nadhani wanayoyajua hayo maeneo tunaweza kuongea lugha moja mkuu.usiumize kichwa sana kujilazimisha kuelewa na wakat huwezi kuelewaWengine tunakusaidia uweke maelezo mengi ili ijulikane ni kwa nini kinauzwa kwa shilingi bilioni moja!!
Kuelewa bei ama eneo kilipo kiwanja?Mkuu kila eneo Lina wateja wake kwahyo nadhani wanayoyajua hayo maeneo tunaweza kuongea lugha moja mkuu.usiumize kichwa sana kujilazimisha kuelewa na wakat huwezi kuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshakuwa mtu mzima kwahyo ameamua auze afanye mambo mengine mkuu.Means anaeuza hana akili nzuri??
Twende taratibu mkuu tusije tukawa great sinkers eti
Sawa mkuu nashkr na asante ila maeneo haya ni kwa ajili ya uwekezaji mkubwa si kwa kujenga Nyumba ya kuishi tuWengine tunakusaidia uweke maelezo mengi ili ijulikane ni kwa nini kinauzwa kwa shilingi bilioni moja!!
Mkuu unataka ufafanuzi wa bei au wa eneo?Kuelewa bei ama eneo kilipo kiwanja?
Nashkr mkuu kwa maoni yako.Ukulasa ~ Ukurasa, kuandika hujui sembuse kujua exchange rate?
Basi tusing'oane heshima bure. Ukiwa dalali na unaleta tangazo kwenye hadhara kama hii usiwe mbishi ama mfichaji wa taarifa ya unachokiuza. Kama kiwanja hicho ni kwa ajili ya watu maalum ungewatafuta huko waliko kuliko kuleta tangazo lako hapa kwenye hii hadhara.
Tusameheane mkuu.Basi tusing'oane heshima bure. Ukiwa dalali na unaleta tangazo kwenye hadhara kama hii usiwe mbishi ama mfichaji wa taarifa ya unachokiuza. Kama kiwanja hicho ni kwa ajili ya watu maalum ungewatafuta huko waliko kuliko kuleta tangazo lako hapa kwenye hii hadhara.
Ameshakuwa mtu mzima kwahyo ameamua auze afanye mambo mengine mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kweli mkuu ingekuwa vzr sana sema mwenyewe amekataa hili ila ukizihitaji unaweza kuja WhatsAppRusha documents waone, ficha majina.
ndio "nisingeelwa" ila kiswahili naelewa! kajambe ulale shilole ww
Halafu tunachoomba kuwekewa ni wenyewe JF wameweka masharti kuwa ni vizuri kuwekwa. Upanga kwa uelewa wangu ni ngumu sana kuwa na kiwanja ambacho kwa miaka yote hiyo hakijajengwa chochote kile. Ni lazima ilikuwepo nyumba ikavunjwa kama picha ya dalali inavoonesha. Eneo linaonekana lilikuwa linatayarishwa kwa ujenzi na ndiyo maana limechinbwa. Jee aliyetaka kujenga kilimtokea nini?Viwanja vikubwa kama hivyo ukiona vyatangazwa na madalali jua haviuziki
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa maoni yako mkuuHivi viwanja wa Kutangazwa hadharani na Document kurushiana wasap
HAVIJAWAI KUMUWACHA MTU SALAMA.
Sent using Jamii Forums mobile app