dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Hebu tupige hesabu tuoneHebu tubadilishie hizo noti kuja kwa pesa ya madafu
Mkuu zinabadilika tu wala usipateshida ukuje tutakuuzia kwa pesa ya Nchi yoyote utakayokuwa nayoOk wakuje wa USD mi naishi TZ
Tsh.1,038,915,000.Hebu tubadilishie hizo noti kuja kwa pesa ya madafu
umeandika kitanzania halafu ukatuwekea utaratibu wa malipo ya kimarekani, kuwa seriousMkuu zinabadilika tu wala usipateshida ukuje tutakuuzia kwa pesa ya Nchi yoyote utakayokuwa nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati kuna watu maisha yaao yoooote kila pesa na senti waliotumia jumla yake haifiki hiyo bei hapo juuTsh.1,038,915,000.
dodge
Pole mkuuWakati kuna watu maisha yaao yoooote kila pesa na senti waliotumia jumla yake haifiki hiyo bei hapo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ningeweka kitanzania wewe usingeelwa.umeandika kitanzania halafu ukatuwekea utaratibu wa malipo ya kimarekani, kuwa serious
Iko seaview Upanga mkuu na Pia ni plot ya pili kutoka beachHiyo plot iko mtaa gani na inauzwa bilioni moja kwa umaalum gani wa sehemu?
Niliwahi kuishi mitaa hiyo Once up the time. Ni karibu na Ghorofa refu?Iko seaview Upanga mkuu na Pia ni plot ya pili kutoka beach
Nadhani ni lazima nyumba iwe imevunjwa. Kinyume cha hapo ngoja tusubiri.Rusha location tukajionee wenyewe kwanza mtandaoni.
Nadhani ni lazima nyumba iwe imevunjwa. Kinyume cha hapo ngoja tusubiri.
Kama ni kwa nyumba ya kuishi tu bado ni ghali, labda iwe ni kwa ajili ya kujenga jengo la kufanyia biashara.
Ukiwa na akili nzr kinaweza kuwa na zaidi ya ITM kama sio bank kabisa mkuu.Hiki kiwanja kina atm ndani au?