Square Meter 1154 kwa 2.4 Bilioni Mwenge!?,kisa ni jirani na TRA!?, Kama wewe sio boss muwe mnatoa ushauri, hili tangazo LA opposite Kenton lilishaletwa hapa liliishia wapi?, Mwenge kuna nyumba zina eneo karibu na size hiyo na zinacheza kwenye 300 hadi 500. Ila hata Bilioni 1 sio kweli.