Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,207
4mili mkuu nakupaaaNyanya Mbichi
nitafutie mteja nauza kiwanja kipo kiluvya madukani ukubwa 46*36 bei 8m.
Mawasiliano njoo pm
Mita ngapi kutokea road?
Sikuhizi jaribu sana na barabara ni norma
4mili mkuu nakupaaa
Milioni tano mkuuNyanya Mbichi
nitafutie mteja nauza kiwanja kipo kiluvya madukani ukubwa 46*36 bei 8m.
Mawasiliano njoo pm
Milioni tano mkuu
- Hali tete mkuu.duuu casta mvungi unaua
Vile vipimo vipo ktk nini mkuu, meter, futi, miguu, hatuanajua hata mimi nauza sio kwa kupenda ujue
hivyo tusaidiane kila afanikiwe
IWE
win win situation
Vile vipimo vipo ktk nini mkuu, meter, futi, miguu, hatua