choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,561
Kuna eneo linauzwa maeneo ya dege kigambon ambalo lina ukubwa wa 30*25. Ni jiran na magorofa ya dege mkono wa kushoto kama unaelekea beach ya kichangani. Ni eneo zur ambalo utalipenda mnunuzi. Bei yake ni milion 7.4 ila inashuka kidogo. Wasiliana nami kwa 0713806766. Karibuni sana.