Bobldi Member Joined Jun 24, 2019 Posts 21 Reaction score 6 Dec 19, 2023 #1 Kiwanja kiza uzwa Arusha njiro mkono kina Square meter 1080 kipo karibu na barabara na huduma zote zaki jamii kwa mawasiliano zaidi tupigie 0623869717
Kiwanja kiza uzwa Arusha njiro mkono kina Square meter 1080 kipo karibu na barabara na huduma zote zaki jamii kwa mawasiliano zaidi tupigie 0623869717
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,450 Reaction score 203,039 Dec 19, 2023 #2 Njiro ipi? Hiyo Njiro nayo ni kubwa mno Msola ama FFU?
Nrangoo JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 3,422 Reaction score 5,479 Dec 19, 2023 #3 Unauza au unakigawa bure mkuu? Mbona bei hujaweka?
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,325 Reaction score 62,203 Dec 19, 2023 #4 Weka bei , biashara haifanywi hivyo
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,191 Reaction score 9,851 Dec 19, 2023 #5 Nrangoo said: Unauza au unakigawa bure mkuu? Mbona bei hujaweka? Click to expand... Amesema ni milioni 8!
Nrangoo said: Unauza au unakigawa bure mkuu? Mbona bei hujaweka? Click to expand... Amesema ni milioni 8!
Bobldi Member Joined Jun 24, 2019 Posts 21 Reaction score 6 Dec 20, 2023 Thread starter #6 Nrangoo said: Unauza au unakigawa bure mkuu? Mbona bei hujaweka? Click to expand... Bei 15 million
Bobldi Member Joined Jun 24, 2019 Posts 21 Reaction score 6 Dec 20, 2023 Thread starter #7 Nrangoo said: Unauza au unakigawa bure mkuu? Mbona bei hujaweka? Click to expand... 15 Mill ndo bei yake
Nrangoo said: Unauza au unakigawa bure mkuu? Mbona bei hujaweka? Click to expand... 15 Mill ndo bei yake
Ndechumia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,187 Reaction score 615 Dec 20, 2023 #8 Bobldi said: Kiwanja kiza uzwa Arusha njiro mkono kina Square meter 1080 kipo karibu na barabara na huduma zote zaki jamii kwa mawasiliano zaidi tupigie 0623869717 Click to expand... Hujasena kama kimepimwa au la. Mkono=mkonoo?
Bobldi said: Kiwanja kiza uzwa Arusha njiro mkono kina Square meter 1080 kipo karibu na barabara na huduma zote zaki jamii kwa mawasiliano zaidi tupigie 0623869717 Click to expand... Hujasena kama kimepimwa au la. Mkono=mkonoo?
Bobldi Member Joined Jun 24, 2019 Posts 21 Reaction score 6 Dec 20, 2023 Thread starter #9 Ndechumia said: Hujasena kama kimepimwa au la. Mkono=mkonoo? Click to expand... Mkonoo kimepimwa boss
Ndechumia said: Hujasena kama kimepimwa au la. Mkono=mkonoo? Click to expand... Mkonoo kimepimwa boss
endesha JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 1,565 Reaction score 2,395 Dec 21, 2023 #10 Depal said: Njiro ipi? Hiyo Njiro nayo ni kubwa mno Msola ama FFU? Click to expand... Kumbe upo Arusha mama? Nitakutafuta nikakununulie hicho kiwanja
Depal said: Njiro ipi? Hiyo Njiro nayo ni kubwa mno Msola ama FFU? Click to expand... Kumbe upo Arusha mama? Nitakutafuta nikakununulie hicho kiwanja
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 21,587 Reaction score 42,902 Dec 21, 2023 #11 Mkonoo siyo Njiro
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 19,300 Reaction score 39,992 Dec 21, 2023 #12 endesha said: Kumbe upo Arusha mama? Nitakutafuta nikakununulie hicho kiwanja Click to expand... JF raha sana 🤣🤣
endesha said: Kumbe upo Arusha mama? Nitakutafuta nikakununulie hicho kiwanja Click to expand... JF raha sana 🤣🤣
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 19,300 Reaction score 39,992 Dec 21, 2023 #13 Kinyungu said: Mkonoo siyo Njiro Click to expand... Sema nasikia siku hizi kuna barabara ya lami mkonoo - Njiro.
Kinyungu said: Mkonoo siyo Njiro Click to expand... Sema nasikia siku hizi kuna barabara ya lami mkonoo - Njiro.
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,301 Reaction score 47,303 Dec 21, 2023 #14 Kitimoto said: Amesema ni milioni 8! Click to expand... No way it cant be true. Hapo ni kuanzia 100k usd +
Kitimoto said: Amesema ni milioni 8! Click to expand... No way it cant be true. Hapo ni kuanzia 100k usd +
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 19,300 Reaction score 39,992 Dec 21, 2023 #15 Maghayo said: No way it cant be true. Hapo ni kuanzia 100k usd + Click to expand... Mkonoo sio Njiro. Ni ukishapita Njiro. Hiyo bei ni sawa.
Maghayo said: No way it cant be true. Hapo ni kuanzia 100k usd + Click to expand... Mkonoo sio Njiro. Ni ukishapita Njiro. Hiyo bei ni sawa.
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 21,587 Reaction score 42,902 Dec 21, 2023 #16 MamaSamia2025 said: Sema nasikia siku hizi kuna barabara ya lami mkonoo - Njiro. Click to expand... Hakuna
MamaSamia2025 said: Sema nasikia siku hizi kuna barabara ya lami mkonoo - Njiro. Click to expand... Hakuna