Plot for sale 32acres-Kigamboni

badspender1

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
74
Reaction score
6
mwali ni approx 32 acres.iko 34 kilometres from kigamboni na 17 kilometres frm vikindu.kuna 3 roomed hse with corrugated iron sheets with 2 outside washrooms.kunamud themed thatched hse with two ensuite rooms +sitting room and kitchen.there 2 medium boreholes for water suppy to the homestead and farming requirements.suitable for a school,a factory.it is a working farm with indegenous mango trees,improved mangoes,passion fruits,lemon trees,coconut trees,guavas and banana trees...more info dial 0715300481 or whatssapp thank you
 
Mkuu kuna maswali huku,njoo ufanye biashara
 
Hizi biashara za maeneo ya Kigamboni muhimu kuwa makini, zimeshamiri mno siku hizi wakati huo huo serikali inatupia macho huko huko. Sina maana kunafanyika utapeli lakini tahadhari ni bora zaidi.
 
Mkuu serikali ipi? Hii ninayoijua mimi? Mradi walisema phase 1 inaisha 2015,lakini mpaka sasa hiyo phase haina hata dalili ya kuanza,matokeo yake ni kwamba wanazuia watu lakini wao wakishirikiana na kampuni binafsi wanapima maeneo na kuuza.Achana na porojo za serikali fanya mambo mkuu utakuja kukuta mwana si wako
 
Kupanga ni kuchagua maana wahenga hawakukosea kwamba kupenda roho ni dawa ati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…