Mutensa JF-Expert Member Joined Feb 20, 2009 Posts 421 Reaction score 92 Aug 12, 2013 #1 Nauza plot mbili, eneo zilipo unaingilia luguruni sheli. Ziko pembeni mwa barabara hiyo ya ndani, si mbali na main road. Zinafikika vema na gari na umeme upo. Tuwasiliane mutensa@live.com au ni-pm kwa details.
Nauza plot mbili, eneo zilipo unaingilia luguruni sheli. Ziko pembeni mwa barabara hiyo ya ndani, si mbali na main road. Zinafikika vema na gari na umeme upo. Tuwasiliane mutensa@live.com au ni-pm kwa details.
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,084 Reaction score 12,679 Aug 12, 2013 #2 zina ukubwa gani? bei yake ikoje?
Mutensa JF-Expert Member Joined Feb 20, 2009 Posts 421 Reaction score 92 Aug 13, 2013 Thread starter #3 TANMO said: zina ukubwa gani? bei yake ikoje? Click to expand... Ukubwa: 22mx22m Bei: 15Mil kwa kila moja, maongezi kidogo yapo. Pia zinaungana hivyo ukizihitaji zote kwa pamoja pia inawezekana.
TANMO said: zina ukubwa gani? bei yake ikoje? Click to expand... Ukubwa: 22mx22m Bei: 15Mil kwa kila moja, maongezi kidogo yapo. Pia zinaungana hivyo ukizihitaji zote kwa pamoja pia inawezekana.