inawezekana unaminyoo aina ya Trichura Trichuris, wanatabia ya kutaka mayai sehemu ya haja kubwa wakati umelala na kuwasha ili ujikune mayai yakae katika vidole na usiponawa na kuweka vidole mdome basi mayai yale huingia tumboni na kuzaliana tena.kuwaona kwa hadubini ni vigumu, mpaka uwekewe solatape hapo haja kubwa ili wanapotoka wanase na ndio upelekee maabara kwa uchunguzi. tumia mebendazole.