Please stay with me this Month

Kukaa na huyo jamaa mpaka mwezi mwingine ni mtihani kweli.
 
duh nishamsahau kitaaaambooo....nackilizia advance..
 
Tatizo la huyu mgeni ana marafiki wengi sana, wakina starehe, matatizo na wenzao wengi......

Kibaya zaidi hana dini wala mwiko wo wote chini ya jua !!!!!!!
 
Unampokea tayari kapunguzwa asilimia 18 kwa kodi, sijui bima ya afya isiyo na matibabu, sijui mfuko wa pensheni namambo kadhaa atakaa wapi!
 
Daima si mkaaji,hupitia tu kujulia hali kisha husepa zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…