Please,i'm seeking an advice


Thank you so much wanajamii for your responses over the topic that I posted conserning whether age matters or not on love affairs.I got your opinion and advices and now they are in application Thanks.

Huyu akichezea kichwa chake, atakua kama le mutuz?!!
 
halafu si mwl wa kiingereza wewe?? hakiya mama mnaaibishwaje sasa wewe na Baba V??

we acha tu!
ni vile vitabu ya mr and mrs daudi ndo vilinifikisha hapa kiinglish sifa ziende kwake mwl mujhwahuzi R.I.P
sasa tatizo mi na Baba V leo tunafundishia macmillan,kesho twiga,kesho kutwa oxford,mtondogooo nyambari basi mradi vurugu tu!
s
 
Last edited by a moderator:
we acha tu!
ni vile vitabu ya mr and mrs daudi ndo vilinifikisha hapa kiinglish sifa ziende kwake mwl mujhwahuzi R.I.P
sasa tatizo mi na Baba V leo tunafundishia macmillan,kesho twiga,kesho kutwa oxford,mtondogooo nyambari basi mradi vurugu tu!
s
niliah kuhuji juu ya ubadilishaj wa vitabu vya kiada namkumbuka kamshna wa elimu alinijibu vitiabu hubadilika kulingana na wakati. mimi nikahoji ukiangalia kiabu cha NELKON NI EDITION TU ZINABADILIKA huku kwetu hvi vya kibongo hubadilika aina ya kitabu.

nilichogundua kama leo hii gfsonwin ndo kamishna wa elimu basi akija snowhite na kitabu chake cha kiingereza nalazimika kumpa shavu kwani ni friend unaona??

kuna vitabu fullan viliwah kusambazwa mashulen vya biolojia nakumbuka vilikuwa na makosa sana sasa nilishindwa kukitumia nika baki natumia cha TEA nilipoandika kwenye scheme kwamba sina reference books wakanichachafya kweli nikawaletea reference iliyopo nikawanyesha makosa nashukuru sana MAINOYA alikuwa mtu poa viliondolewa shulen kwetu vile vitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…