Please dream come again

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
nimekaa zangu hapa kibarazani sina mchongo wowote hela sina nawaza nipige mchongo gani nipate pesa mara simu yangu ikaingia namba ngeni
Kupokea nikaskia sauti tamuu ya mtto wa kike daa nilidata aisee
Mrembo.....halow J mambo
J.....poa poa nani mwenzangu
Mrembo......naitwa saida nakaa osterbay nasoma st marys nimechukua no yako jf nimeona nikucheki aisee we mkaka mm nakupenda saana
J......daaa mbna siamini mrembo unanipenda kweli??? Yan labda nieleweshe umenipendaje
Mrembo.....yan niko hoi juu yako nimekupenda kimapenzi nataka uwe mpenzi wangu na ntakusaidia mengi coz mm mtto wa kishua sana yan wazazi wangu nikitaka chochote wananipa
J......daaaaa siamini jaman mrembo naona kama ndoto
Mrembo......kwan sasa hivi uko wapi?? Chagua sehemu yyte tuonane unayoipenda
J.......daa mm nakaa sinza napenda sana kwenda mliman city kma vipi njoo tumit hapa
Mrembo......poa mm niko mwenge dakika 5 ntakua hapo

>nikafika akaniambia njoo samaki samaki nimevaa skin nyekundu na top ya njano nimekaa mwanzo kabisa daaa sikuamini nilikuta ni bonge la mrembo sijawai ona daaa sikuamin kuwa zali langu lile daa

Mrembo.....karibu ukae J usiogope jiskie upo nyumbani
J.....daaa asante sana mrembo
Mrembo.......J unakunywa nini bby
J.....nakunywa redbull mrembo
Mrembo......muhudumu tuletee redbull 5 na kuku mzima
Muhudumu akalete tukanywa tukala yan full shangwe story kibao akanipa na laki 3 nikae nazo mfukoni daaa sikuamini macho yangu
Basi tukamaliza akasema bby twende zetu tuondoke tukapanda kwenye gari yake safari ikaanza tukafika sehemu moja imetulia akapaki gari akaniambia bby mi nataka unipe penzi humu humu ndani ya gari huku ananipapasa papasa na mm nikaanza kumshika shika
Mara nikastukia nimepigwa bonge la kofi kustuka nakuta mother amemaind mbaya eti jana usiku nimekula wali wa mtoto
daaa kumbe nilikua naota mm roho imeniuma xana ndoto yangu haijaisha maza kanikatisha nimelia sana jaman

......Please dream come again......
 
Haya bana, lala tena inaweza kuendelea tokea hapo ilipokatikia.

Na kuna mwehu mwingine keshawahi kufanya ugomvi na jamaa kisa kamshitua kwenye ndoto alikua anaota kazamia meli ishafika paris, anaona mji ule pale meli inataka kuweka nanga ndio akashituliwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…